YALIYOMO YAMO

 

 



1: UCHAFU WA MWILI.

Hakuna kitu kinachokera wakati wa kupeana raha na utamu kama mwanamke anatoa harufu mwilini,Unapeleka mdomo wako kwenye lips zake ili umnyonye denda unakutana na mdomo wake unaotoa harufu,unapeleka mdomo wako kwenye matiti yake uyanyonye unakutana na kikwapa chake kinachotoa harufu,Haya basi unaona isiwe kesi acha nimnyonye au nimlambe Uke,unapeleka mdomo wako huko chini unakutana na harufu kali ndani ya Uke wake.Mpaka ikifika hapo utakuwa umeshamboa mwanaume,ataingiza tu mashine yake amalize hamu zake aondoke,halafu kila siku unalalamika hujawahi kufika kileleni,nani atakufikisha kileleni kwenye hali kama hiyo?

UNACHOTAKIWA KUFANYA.

Kama ulikuwa una mazoea ya kuoga mara moja kwa siku,Itabidi uwe unaoga hata mara mbili au tatu,ukiwa unaoga usisahau kujisugua sehemu zenye mikunjo ambazo zinaficha jasho na uchafu mwingine ambao unakufanya utoe harufu mbaya (Sugua kikwapa chako vizuri,piga mswaki kila baada ya mlo,nyoa nywele zako za sehemu za siri mara kwa mara ).kwa kawaida Uke una harufu yake nzuri ambayo haiwezi kumkera mwanaume,sana sana itamuongezea hamu ya kutaka kupata raha na utamu,Lakini kama uke wako unatoa harufu mbaya basi kuna njia za kufanya ambazo nimeshawahi kuzieleza hivyo unaweza kuzipitia.

2: KUTULIA KAMA GOGO.
Sio siri inakera na inaboa sana kupeana raha na utamu na mwanamke ambaye ana tabia na mazoea ya kutulia kama gogo kitandani,Yaani kidume mwenyewe uko busy unamshika shika na kumlamba kila sehemu,lakini yeye ametulia tu,umeingiza mashine ukaanza kupump,wala hata hashtuki.Mwanaume sio mashine,ni binadamu kwa hiyo wakati wa kupeana raha na utamu anahitaji kujua kama anachofanya kinakupa raha kiasi gani ili aongeze ufundi zaidi.

UNACHOTAKIWA KUFANYA.
Wanawake mmejaliwa na sauti nzuri sana,unaonaje kama ukitumia hiyo sauti yako vizuri wakati wa kupeana raha na utamu?.Sauti ya chumbani inatakiwa iwe tofauti na ya barabarani,ibane sauti yako itokee puani,na hiyo sauti ijaze maneno matamu ya kumjulisha mwanaume raha na utamu unaoupata,na pia kumjulisha aongeze au apunguze kitu gani kulingana na mahitaji yako kwa wakati huo.Pia unaweza ukazungusha kiuno chako taratibu kutegemeana na style mnayotumia,na kama style mnayotumia inaruhusu mikono yako iwe free basi itumie ama kujishika shika mwenyewe au mpenzi wako kwa ajili ya kuongeza raha zaidi.Kinachohitajika hapa ni kuonyesha USHIRIKIANO.

3: USIJARIBU KITU AMBACHO HUJUI NA HUJAWAHI KUJIFUNZA.
Kujaribu mambo mapya wakati wa kupeana raha na utamu ni kitu kizuri sana,kwa sababu kinachangamsha na kulifanya tendo liwe jipya kila siku hata kama unafanya na mtu yule yule.Lakini kama ukijaribu kufanya kitu kipya bila kujifunza kwanza,uwezekano wa kukosea unakuwa mkubwa zaidi,na pale unapokosea kama mwanaume unae do nae sio muelewa basi ni lazima utamboa.Mfano: hujawahi kunyonya mashine ya mwanaume toka uzaliwe,lakini ulipoona kwenye PORN na marafiki zako wakakuambia wanaume wanapenda,ukatamani na wewe ujaribu,na ukajaribu bila kujifunza,matokeo yake ukawa unamuumiza mwenzako na meno yako wakati wa kunyonya n.k

UNACHOTAKIWA KUFANYA.
Kama kuna kitu kipya umekiona au umekisikia sehemu,na ungependa kujaribu na mpenzi wako,ni heri ukamwambia mapema ili hata kama ukikosea iwe rahisi kukuelewa,na kama anajua,basi atakuelekeza jinsi ya kufanya ili wote mpate nafasi ya kuenjoy.Au kama unapenda ukijaribu kama SUPRISE ,basi itakuwa vizuri ukijifunza kwanza ama peke yako au unaweza ukatumia kitu chochote kinachofanana na mdoli,ukishamaliza kujaribu ukiwa na uhakika umeweza kufanya inavyotakiwa kisha ndio uende kujaribu kwake kama SUPRISE.

Tabia ya Mwanamke Asiyewasjibika Kitandani



Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao

*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.

*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika

*Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa

*Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..

*Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......

*Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk

Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni

 

Aweka Sumu Ukeni ili Kumuua Mumewe Akiziramba Sehemu Zake za Siri


NewsImages/6779814.jpg

Mwanamke mmoja wa nchini Brazili amefikishwa mahakamani kufuatia jaribio lake la kumuua mumewe kwa kuweka sumu kwenye sehemu zake za siri na kisha kumtaka mumewe azamie kuziramba sehemu zake za siri kabla hawajafanya tendo la ndoa.
Mume wa mwanamke mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa mji wa Sao Jose do Rio Preto nchini Brazili aliamua kumfikisha mahakamani mkewe baada ya kunusurika jaribio la kuuliwa kwa sumu iliyowekwa kwenye sehemu za siri za mkewe.

Taarifa zilisema kuwa mwanamke huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, alipakaza sumu kwenye sehemu zake za siri na kisha kumhadaa mumewe wafanye mapenzi.

Mwanamke huyo ili kukamilisha azma yake ya kumuua mumewe alimtaka mumewe azirambe rambe sehemu zake za siri kabla hawajaanza tendo la ndoa.

Lakini mumewe akiwa kwenye jaribio la kukamilisha ombi hilo la mkewe alishtuka kusikia harufu ya ajabu ikitokea kwenye sehemu za siri za mkewe.

Alikatisha zoezi hilo na kumchukua mkewe na kumpeleka hospitali ambapo madaktari walimfanyia vipimo na kugundua kuwa mkewe alijipakaza vitu vyenye sumu kali kwenye sehemu zake za siri.

Mume wa mwanamke huyo amemfungulia kesi mkewe mahakamani kufuatia jaribio lake hilo la kumuua.

 

 

 

HUYU NDIO MTOTO ALIEZALIWA NA MIGUU YA MBUZI NIGERIA.



.

Ni siku 13 tu zimepita toka millardayo.com iandike stori kutoka Nigeria kuhusu mama anaedai kujifungua mtoto wa farasi.

Leo stori nyingine iliyoandikwa na mtandao wa Naijagists inamuhusu mwanamke anaedai kujifungua mtoto aliezaliwa kama binaadamu lakini ana miguu na tumbo kama la mbuzi.

Hili tukio limetokea sehemu inaitwa Jahun, Jigawa State, Nigeria ambako huyu mtoto amezaliwa akiwa hana shingo pia.

Hili ni tukio la sept 11 2012 ambayohuyu ndio farasi ambae inadaiwa mwanamke mmoja huko Nigeria anaedaiwa kumzaa ghafla akiwa kanisani baada ya maombi kuwa makali.

Mama wa huyu mtoto anasema hii ni mara ya nne yeye kujifungua watoto wenye maumbo ya ajabu.

Mpaka mara ya mwisho nimechek na Naijagists mtoto huyu alikua amelazwa kitandani hospitalini, millardayo.com inaendelea kufatilia, kikitokea chochote utafahamu kupitia hapa.

 

 

POLISI AKUTWA AMEJINYONGA KITUONI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, David Misime.

Na Makongoro Oging'

ASKARI polisi mwenye cheo cha koplo, Mlima Mnyasi ‘Katafunua’ wa Kituo cha Kilwa Road Mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini Dar, hivi karibuni alikutwa amejinyonga hadi kufa katika lori la polisi lililopo kituoni hapo.

Mnyasi mwenye namba C.8909 alikutwa na askari mwenzake Septemba 16, mwaka huu, majira ya asubuhi akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba za viatu huku chanzo cha kifo chake kikidaiwa ni kukaa kazini muda mrefu bila ya kupandishwa cheo.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari ndani ya jeshi hilo, Koplo Mnyasi kabla ya kifo chake alikuwa akinung’unika mara kwa mara juu ya suala hilo huku akishuhudia wenzake alioanza nao kazi wakipandishwa vyeo.

“Kila mtu anasema lake lakini mimi nakwambia huyu amejinyonga baada ya kuona wenzake wanapandishwa vyeo, yeye yuko pale pale. Hivi karibuni baadhi ya polisi walipelekwa katika vyuo mbalimbali vya polisi kikiwemo kile kilichopo Zanzibar.

“Koplo Mnyasi naye alichukua begi lake akiamini jina lake limo katika orodha ya askari waliopendekezwa. Alipofika kule, akaambiwa jina lake halimo. Alishangaa sana na ndipo alipochukua begi lake na kurejea kwenye kituo chake cha kazi.

“Haikuchukua muda mrefu ndipo umauti ukamkuta katika mazingira hayo na ndiyo maana wengi wanaamini kucheleweshewa cheo ndiyo sababu,” kilidai chanzo hicho.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, David Misime alipoulizwa kuhusiana na kifo hicho alikiri kuwepo kwa askari huyo kujinyonga lakini chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana.

 

 

NYETI ZA MUME ZILIZOIBWA NA MKEWE, ZAREJESHWA

Na Makongoro Oging'

JUMA Ali, 48, (picha ndogo), mkazi wa Mtoni Wilaya ya Temeke, jijini Dar ambaye hivi karibuni alidai kwamba mkewe aitwaye Hadija Chande 40, (picha kubwa) amemuibia nyeti zake kimiujiza, sasa furaha yake imerejea kufuatia mganga mmoja wa kienjeyji kumnyooshea mambo yake.

Akizungumza na Uwazi hivi karibuni, Juma alisema nyeti zake hizo zimerejeshwa na  mganga huyo baada ya kutokuwa nazo kwa muda wa miezi miwili.

“Kwa kweli nimeteseka sana ila sasa namshukuru Mungu niko freshi, nyeti zangu zimerudi baada ya kwenda kwa mganga wa kienyeji huko Pwani kufuatia mke wangu kugoma kuzirejesha.

“Ilifika wakati nikahisi sistahili kuendelea kuishi kwa kuwa sikuwa mwanaume niliyekamilika lakini baada ya kushauriwa kwenda kwa wataalam, sasa mambo ni shwari,” alisema Ali.

Awali, mwanaume huyo alidai kuwa, Julai 28, mwaka huu mke wake alitoweka nyumbani na baadhi ya vitu vya ndani, aliporejea akitokea kazini hakumkuta na ndipo matatizo hayo ya kupotelewa na nyeti yalipoibuka.

Sakata hilo lilifika hadi kwenye Baraza Kuu la Waislam Tanzania, Wilaya ya Temeke ili kulitafutia ufumbuzi na Hadija alipotafutwa ili kulizungumzia hakuwa tayari kutoa ushirikiano.

 

 

MAMA AMFIKISHA MWANAYE POLISI, KISA MALI ZA URITHI

Bi. Basila Komu.
Nyumba ya urithi.
Stori: Haruni Sanchawa

MWANAMKE mmoja mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar, Basila Komu hivi karibuni alimfikisha mwanaye wa kumzaa katika Kituo cha Polisi cha Kawe kufuatia mtoto huyo kung’ang’ania mali za urithi za baba yake kinyume na taratibu.

Akizungumza na Uwazi, mama huyo alidai kuwa mtoto wake huyo aliyemtaja kwa jina la Michael Komu amekuwa akimkosesha amani tangu mumewe afariki kwani kuna wakati alimfukuza kwenye nyumba yao akidai ni mali yake.

“Mimi ni mjane, hii nyumba ni mali ya marehemu mume wangu aliyefariki mwaka 2005 lakini nashangaa huyo mtoto anadai ni yake. Mbali na nyumba, kuna mali nyingi ambazo marehemu kaziacha ambazo mtoto huyu anadai anazimiliki yeye,” alidai mama huyo na kuongeza:

“Kwa kweli ananifanya niishi kwa hofu sana, anayofanya mtoto huyu ni ya kushangaza. Ameficha baadhi ya hati muhimu za mali kisha amehama na kwenda kuishi kwingine, kwa kweli naomba vyombo vya dola vinisaidie.”

Baada ya kuona mambo yanazidi kuwa mabaya, mama huyo aliamua kwenda kumripoti mwanaye huyo kwenye Kituo cha Polisi cha Kawe na kufungua kesi yenye jalada namba KW/RB/8863/2012.

Kwa upande wa Michael Komu ambaye kitaaluma ni mhandisi, alisema ni kweli Basila ni mama yake mzazi ila akadai yote yanayotokea ni kwa sababu mama huyo ana matatizo ya akili.

Akizungumzia sakata hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alikiri tukio hilo kuripotiwa kwake na kwamba linafuatiliwa ili hatua zinazofaa ziweze kuchukuliwa.

 

 

No comments:

Post a Comment