Katika blog hii utapata kujua habari motomoto zinazojiri katika jamii
KURASA
▼
KAMATI MPYA ZA SIMBA ZATANGAZWA
Kamati
ya Utendaji ya Simba imepitia na kuidhinisha majina ya wajumbe wa
kamati mbalimbali za klabu lengo likiwa kuiboresha klabu na pia
kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na michuano ya
kimataifa ambayo Simba inashiriki mwaka huu. Mwenyekiti wa Simba,
Mhe, Ismail Aden Rage, anawapongeza wote walioteuliwa kwa ajili ya kazi
hii na kuwatakia mafanikio mema katika kuijenga klabu ili iwe ya kisasa
kama walivyo wajumbe wenyewe. Uteuzi huu wa wajumbe unaanza mara
moja na wenyeviti wa kamati hizo wamepewa nguvu ya kuitisha vikao vya
kamati zao mapema iwezekanavyo. Ifuatayo ni orodha ya majina ya wajumbe wa kamati mbalimbali
Wajumbe ni
1. DAMIAN MANEMBE-MWENYEKITI 2. IBRAHIM MASOUD-MAKAMU MWENYEKITI 3. CRESCENCIUS MAGORI 4. KHALID ABEID 5. SAID TULLY 6. DR. KATEGILE 7. ZAMOYONI MOGELA 8. JOHN WILLIAM (DEL PIERO) 9. YUSUFU MACHO 10. JEFF LEA 11. BITA JOHN 12. SHABAAN BARAZA
KAMATI YA FEDHA 1. GEOFREY IRICK NYANGE (MWENYEKITI) 2. RAHMA AL KHALOOS-MAKAMU MWENYEKITI 3. FRANCIS WAYA 4. ZITTO KABWE 5. JUMA NKAMIA 6. RUGE MUTAHABA
KAMATI YA MASHINDANO 1. SWEDY MKWABI-MWENYEKITI 2. SAID PAMBA-MAKAMU MWENYEKITI 3. SELEMANI ZEDDY. (MB) 4. JERRY YAMBI 5. IDDI KAJUNA 6. CHAUREMBO 7. GERLAD LUKUMAY 8. HABBIB NASSA 9. BUNDALA KABULWA 10. CHARLES HAMKAH 11. SAID RUBEYA 12. ABDULFATAH SALUM (SAPHIRE) 13. HATIBU MWINYI (BUSTA) 14. ABDUL MSHANGAMA 15. HUMPHREY ZEBEDAYO 16. MAJALIWA MBASSA 17. SULEIMAN ZAKAZAKA 18. KESI MOHAMED RASHID 19. MOHAMED ISSA MBENA
KAMATI YA PROGRAMU ZA VIJANA 1. IBARHIM MASOUD –MWENYEKITI 2. RUGE MUTAHABA-MAKAMU MWENYEKITI 3. JOSEPH ITANG’ARE-MJUMBE/MLEZI 4. WILFRED KIDAU 5. MOHAMED ABDALLAH 6. SAID TULLY 7. CANISIUS MASOMBOLA 8. HAMIS MRISHO 9. DAMAS NDUMBARO 10. TALIB HILAL
TIMU YA SIMBA
Simba inarejea kesho kutoka Oman saa 10
jioni na itaingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu
ya Vodacom dhidi ya African Lyon Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment