WAZIRI NCHIMBI ATIMULIWA NA WAANDISHI JANGWANI
Wakati
maandamano yakiingia Uwanja wa Jangwani, waziri wa Mambo ya Ndani
Emmanuel Nchimbi alifika uwanjani na kusimama jukwaa kuu. Hatua hii
ilisababisha waandishi kupiga kelele na kumzomea na kutaka aondoke.
Hivyo alianza kuondoka na waandishi kumuimbia aondoke aondoke....
Aliondoka kwa aibu.
No comments:
Post a Comment