Yohan Blake na Usain Bolt wameng'ara tena kwenye mbio za Diamond League mjini Zurich.
Wajamaica
Blake, aliyeshinda medali mbili za Fedha kwenye Olimpiki London,
wakimgaragaza Mmarekani Tyson Gay - wamefanya mambo tena.
Usain Bolt akikimbia kushinda mbio za mita 200 Zurich Kinara tena: Usain Bolt akishangilia ushindi wa mbio za mita 200 kwenye mbio za Diamond League mjini Zurich
No comments:
Post a Comment