Dkt. Bilal Afungua Mkutano Wa Wakuu Wa Majeshi Ya Polisi Kutoka Nchi Za KusinI Mwa Afrika (SADC)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa Kimataifa kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za Afrika kiulinzi. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Plisi, Inspekta Genarali, Saidi Mwema, baada ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa Kimataifa kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za Afrika kiulinzi. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Afrika ya Kusini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akijumuika kuimba wimbo wa Taifa na wakuu wa Jeshi la Polisi Inspekta Generali, Said Mwema (wa pili kushoto) wakati alipofika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo Sept 05, 2012 kwa ajili ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa Kimataifa kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za Afrika kiulinzi.

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka nchi mbalimbali za Afrika, wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo Sept 05, 2012 katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar


No comments:

Post a Comment