Hapa
waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya wakiwa wanajiweka sawa Tayari kwa
kuanza Safari yao ya kuelekea Tukuyu kwa ajili ya Mazishi
Safari ikiwa imeanza kuelekea Tukuyu
Mwandishi
Mkuu wa Mbeya yetu, wa kwanza kushoto ndugu Joseph Mwaisango akiwa Live
ndani ya Basi kuelekea katika Msiba na Mazishi muda huu
Safari inaendelea
Hapa
Mambo yanaenda na safari inaendelea kama kawaida , ni asubuhi kabisa
lakini tunajitahidi kuwaletea tukio zima Live moja kwa moja.
Safari inaendelea
Hakika
hakuna Mwandishi wa habari hata mmoja aliye na Furaha wengi wanaonekana
wakiwa na uchungu, juu ya kifo cha Mwandishi mwenzao.
No comments:
Post a Comment