Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Meli ya Ms Sepideh, Idrisa Shehe Mussa akiwaonesha
waandishi wa habari barua walioletewa na Mamlaka ta Usafiri wa Baharuni
kuitaka kampuni hiyo kufuata utaratibu wa ukataji wa tiketi kwa abiria
wake kufuata sheria iliowekwa kuhakikisha abiria nakuwa na
kitambulisho wakati anakata tiketi yake ya kusafiria kati ya
Dar-es-Salaam na Pemba. kama zinavuosomeka barua hizo hapo juu.
No comments:
Post a Comment