Waziri wa Afya nchini Tanzania
Dk Hussein Mwinyi kushoto akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya
Chakula na Dawa Bw Hiiti Sillo kulia wakati waziri wa Afya alipotembelea
TFDA leo jijini Dar es Salaam ambapo mkurugenzi.wa TFDA ameiombba
wizara ya Afya kuendelea kuwaunga mkono ili TFDA iweze kutimiza jukumu
la kulinda afya ya jamii.
Mkurugenzi
wa huduma za maabara TFDA Bi, Charys Ugullum akimuelekeza waziri wa
Afya Dk Hussein Mwinyi, namna Maabara inavyofanya kazi yake ya kupima
madawa na chakula.
Kaimu
Mkurugenzi wa Dawa na Vipodozi TFDA Bw, Henry Irunde akimwonyesha
Waziri document inayoelezea majaribio ya dawa mbalimbali zikiwemo dawa
za kienyeji.PICHA NA Elisante William.
No comments:
Post a Comment