Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi ya ubunge Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo mjini Dodoma jana.
Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa ya Dodoma jana.
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakionyesha ishara ya vidole viwili ambayo
ni alama ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini wakati msafara wa
Mgombea Ubunge Kupitia CCM Anthon Mavunde ulipokuwa ukipita kwenda
kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo katika barabara kuu eneo la
Nyerere Square, hivi karibuni kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma alikitaja
kitendo hicho cha kuingiza itikadi ya chama kingine pasipohusika kama
viashiria vya uvunjifu wa amani.
Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde
akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua
Fomu za kugombea nafasi hiyo.
PICHA NA JOHN BANDA
No comments:
Post a Comment