HUYU NDIO MWANAMKE ALIOLEWA NA BABA MZAZI NA KUPATA WATOTO BILA KUGUNDUA.
Taarifa ambayo imewashtua watu
wengi inamuhusu mwanamama Valerie Spruill ambae ameishi na baba yake
mzazi kama mke na mume kwa miaka 40 bila kugundua.
kwa mujibu wa Daily Post
Nigeria, Spruill aligundua hii siri mwaka 2004 na amewavutia wengi kwa
ujasiri wake wa kuiweka wazi kuhusu mumewe ambae kwa sasa ni marehemu.
Chanzo cha yeye kufahamu ni
kutokana na kukusanya taarifa mbalimbali ambazo mwanzoni alianza
kuzipata kama tetesi za umbea kutoka kwa watu mbalimbali.
Mpaka sasa mama huyu mwenye
umri wa miaka 60 ana watoto watatu na wajukuu nane na alifahamu ukweli
wa hii ishu kupitia kwa Uncle wake siku chache baada ya kifo cha mume
wake.
Umeshawahi kusikia kisa cha
aina hii? unemfahamu yeyote? mawazo yako ni yapi ili kuepuka vitu kama
hivi? share na mimi kwa kucomment mtu wangu wa nguvu.
No comments:
Post a Comment