Naibu Waziri Wa Elimu Na Mafunzo Ya Ufundi Philipo Mulugo Atoa Taarifa Ya Malalamiko Ya Mtihani Wakidato Cha Sita


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo ( kushoto), akitoa taarifa kwa umma kuhusu matokeo ya Kamati ya Uchunguzi, ya malalamiko kuhusu matokeo ya mitihani ya kidato cha Sita wa somo la Islamic Knowledge mwaka 2012 jana jijini Dar es salaam ambapo makosa yalitokana na kasoro za kiutendaji na kiufundi na si vinginevyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Shule Marystella Wassena.

           
       Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam

No comments:

Post a Comment