Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akiwaangalia watoto
waliolazwa katika wodi ya watu wa ajali kwenye hospitali ya Mnazi
Mmoja,Zanzibar kabla ya kukabidhi msaada kwa ajili ya wodi hiyo.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akizungumza wakati
akimkabidhi Muuguzi Mkunga wa Wodi ya Watoto waliopata ajali Bibi Leluu
Omar Said msaada wa vitanda 14, magodoro na mashuka yake kwa ajili ya
wodi hiyo.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif akifuatana na Waziri wa Afya wa
Zanzibar,Mh. Juma Duni Haji, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Dr. Saleh Mohd
Jidawi na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wananachi Kiuchumi na Ushirika,Mh.
Haroun Ali Suleiman wakiangalia msaada wa vitanda, magodoro na mashuka
yaliyotolewa na msamaria mwema katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na mmoja
wa wagonjwa wa wodi ya Mifupa aliyelazwa kabla ya kukabidhi msaada wa
vifaa vilivyotolewa na wasamaria wema,Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi Muuguzi dhama wa
wodi ya Mifupa Bibi Afsa Abdulla msaada wa vitanda 24, magodoro na
mashuka yake kwa ajili ya wodi hiyo.
No comments:
Post a Comment