Hii ni njema na yakupendeza

John Banda

Moja ya wana habari wa mkoani Dodoma akikumbushia enzi zake akiwa kijijini kwa kula wa uwele wakati akitafuta habari.Chakula hiki hutumiwa na wenyeji wa mkoa wa Dodoma wakati wa kiangazi.

No comments:

Post a Comment