| Kocha mkuu wa Simba Milovan Cirkovic akipata chai baada ya mazoezi leo asubuhi. |
| Mwinyi Kazimoto akiwa mchezaji mwenzie wakipata kifungua kinywa baada ya kutoka mazoezini. |
| Mario Balotelli aka Haruna Moshi Boban akitoka kuchukua breakfast yake asubuhi ya leo. |
| Misosi ya wachezaji a Simba |
| Kelvin Yondan akiwaongoza wenzake kuchukua chakula baada ya kutoka mazoezini. |
No comments:
Post a Comment