Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akihutubia Mkutano wa Idara ya Huduma za wanawake ya Kanisa la Kiadventista Kanda ya Mashariki (hawapo Pichani) wakati wa Ufunguzi wa Semina ya umoja wa wanawake wajasiliamali wa kanisa hilo ulioanza leo jijini Dar es salaam.Semina hiyo itamalizika tarehe 9/9/2012.
Baadhi
ya akinamama wa wa Idara ya Huduma za Wanawake wa Kanisa la
Kiadventista Kanda ya Masharika wakimsikiliza Waziri wa Habari Vijana
Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara wakati wa uzinduzi wa semina
ya siku tatu ya umoja wa wanawake wajasiriamali wa kanisa hilo.
Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM
No comments:
Post a Comment